Youssouph Dabo wa Azam FC asema wachezaji wote muhimu, watapambana kwenye mechi zijazo kuboresha utendaji na kufurahisha mashabiki.
Kocha wa timu ya Azam FC, Youssouph Dabo, amesema wachezaji wake wote ni muhimu kuendelea kupambana kwenye mechi zote ili kuwapa burudani mashabiki na kupata matokeo chanya.
Timu hiyo mchezo wake uliopita ilikomba pointi tatu dhidi ya Singida Fountain Gate kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex kwa kushinda 2-1.
16:12 - 27.09.2023
KANDANDA Tanzania, Uganda na Kenya kuaandaa AFCON 2027
Tanzania, Kenya, na Uganda zimechaguliwa na CAF kuandaa AFCON 2027, kupitia ombi lao la Pamoja BID, kwa mara ya kwanza.
Lakini mchezo unaofuata watalazimika kusafiri hadi jijini Dodoma kuumana na Dodoma Jiji mchezo utakaopigwa saa 1 usiku Oktoba 3, Uwanja wa Jamhuri.
Akizungumza na PulseSports, Dabo amesema bado wachezaji wanaonyesha juhudi kwenye kutimiza majukumu yao licha ya kuwa na makosa madogo ambayo ni muhimu kufanyiwa kazi.
21:34 - 26.09.2023
KANDANDA Yanga yaja na 'Key day' kuivaa Marreikh
Yanga itaumana na Merreikh Jumamosi Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam katika mchezo wa mkondo wa pili kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
“Wachezaji wanajituma kwenye kutimiza majukumu kutokana na kupata matokeo lakini ni muhimu burudani ikaendelea kwenye mechi zote ambazo tutacheza," amesema Dabo na kuongeza.
“Kila mchezo unapokwisha tunapata muda wa kufanyia kazi makosa jambo ambalo linazidi kutufanya tuwe imara tuna amini tutakuwa bora na kupata matokeo kwenye mechi ambazo tutacheza”.
21:00 - 26.09.2023
KANDANDA Onyango aachwa safari Misri
Singida FG inakwenda kucheza mechi yao ya mkondo wa pili ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Future FC.
Azam FC ipo nafasi ya tatu kwenye msimamo ikiwa na pointi 9 sawa na vinara Yanga SC na Simba SC ila zinatofautiana